BBC imemtunukia Lewis Hamilton tuzo muhimu ya BBC Sports Personality mwaka huu...Hamilton ni bingwa wa dunia katika mashindano ya magari ya Formula One (F1) mwaka huu...
BBC pia wamemzawadia Cristiano Ronaldo tuzo ya BBC Oversees Sports Personality...Ronaldo ni mchezaji wa mpira wa 2 ukiacha Ronaldo wa Brazil mwaka 2002 kushinda hiyo tuzo ndani ya karne hii...Bofya hapa upate habari zaidi.
0 Yorumlar